Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Toka mwanzoni mwa wiki hii Diamond Platnumz na crew yake wamekuwa waki-tease vitu kwa mafumbo kuashiria kuna kitu kikubwa kinakuja. Diamond-Platnumz Kupitia Instagram Diamond ameshare fomu...
3 Reactions
16 Replies
4K Views
These are my all time best 5. 1. Gold Diggers: The World's Biggest Bank Robbery (TV Movie 2006) - IMDb Paulo Sergio De Souza(Not his real name).The Mastermind "Around 8.30am on Monday, 8...
1 Reactions
4 Replies
9K Views
Haina ubishi kuwa amplifaya kimekuwa kipindi bora kwa sasa...watu wengi wameonyesha kukielewa. wasiwasi wangu mimi ni juu ya mwenendo wa mtangazaj wake milard ayo(mtangazaji wa radio anayependwa...
1 Reactions
21 Replies
5K Views
Jamani kuna jambo huwa nijiuliza sana hivi hapa Bongo kuna wasanii ambao ni maarufu sana, lakini hawajawahi kutoa video za nyimbo? Mkuu kama unawajua tutajie hapa.
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Kwa mujibu wa Diamond tiketi zaidi ya elfu60 ziliuzwa uwanja ulijaa full
2 Reactions
87 Replies
9K Views
Binafsi huwa napata tabu sana kumuelewa mtu (tena anaeishi 'Africa') ambae anaubeza utamaduni wa hi-hop, in particular muziki wa hip-hop, achilia mbali graffitis ambazo ni meaningful mode to...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
This means that Toddler Takeover gives you the opportunity to GET INVOLVED and have fun with your little one instead of just watching from the sidelines, however if you do just want to relax and...
0 Reactions
0 Replies
860 Views
Kwa bei rahisi kabisa unajipatia Tv series zilizotajwa hapo juu. kwa tsh 3000 unapata season 1 na pia kama utakuwa na nyingne ambayo utaichagua wewe unaweza kuopata kwa tsh 5000 kama haipo kwenye...
0 Reactions
2 Replies
918 Views
Wadau pamoja na mizengwe yote inayofanywa. Mimi natabiri Diamond kuchukua tuzo kumi mwaka huu sababu kajitokeza kwenye vipengele 10 huku anayemfatia kwa nominations ana category 5...
1 Reactions
27 Replies
4K Views
Jamani naomba munisaidie natafuta huu wimbo niliuona mara1 ulipigwa kwenye channel flani tena nilikuta mwishoni kabsa, Kaimba mdada kama ckosei then humo ndani kama anahang around kwa town hivi...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kama upo katika muziki na unataka kuendelea usikose kusoma USHAURI HUU (chini). tulia soma by Godwin Tom Hi Guys… It's been a while… Way over a year! Missed me? Brief...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Licha ya kuwa ni wimbo mzuri wenye mpangilio wasauti na waimbaji,pia una ujumbe muhimu sana kwenye jamii yetu, Hivi tumekwisha kaa tukawaza kuwa kutoa mimba pia ni kosa na ni dhambi kubwa sana...
0 Reactions
21 Replies
6K Views
Kubali ukatae lakini huo ndo ukweli watoto wa oysterbay, masaki na mitaa ya kizungu mikoa mbalimbali wanaofuatilia hii aina ya mziki wachache sana. Hiphop ina mashabiki wengi sana usipinge...
1 Reactions
32 Replies
4K Views
Kwa wale wapenzi wa magame kama mimi naombeni msaada wa kupata update za fifa 14 au free fifa 15
0 Reactions
0 Replies
754 Views
Wadau wa mziki wa Injili nadhani mmeshawai kuusikia Wimbo wa kijana na Mtumishi wa Mungu Ambwene Mwasongwe ujulikanayo kama "Upendo". Ama hakika ni wimbo mtamu sana kuusikiliza,Ambwene...
2 Reactions
25 Replies
22K Views
Hi wanajamii, natafuta mwanamziki anaeimba peke yake let say na kinanda.mic peke yake aje kutumbuiza kwenye small birthday party, ajue kuimba nyimbo mbali mbali nk, mfano hawa ambao huwa wanaoimba...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Jamani wana jamiiforum wenzangu nitaipataje hii series ya Legal wife either kwenye CD au kwenye flash. Yaani naihitaji sanaa
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Leo ndio kumekucha tuzo za watu zinaendelea usiku huu Haya mwagikeni nani na nani wamechukua tuzo Sio mbaya kusifia vile vilivyowapa tuzo hizo pia, ili watu tusiojua tuzijue kama ni movie taja...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
This is purely feminine and has never felt fresher. Go floral this summer with abstract, minute beautiful prints..... For more: Your look for summer 2015
0 Reactions
0 Replies
875 Views
Back
Top Bottom