Wadau..
Naomba kufahamishwa kama hapa Dar es salaam kuna Music School. Nataka nijifunze kupiga vyombo vya Music.. Guitar, Piano na Drums. Wapi naweza pata hii elimu? Nataka kuanza na Guitar.
Naomba anaefahamu anielekeze. Sitaki full time Classes maana mimi ni Muajiriwa. Naraka kujifunza Music after work hours.
Tafafhali. Anaefahamu naomba anijuze...
Natanguliza shukrani zangu za dhati.
Noel