Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 25,447
- 46,207
Wakuu mwenye wimbo ule alioimba Msanii Ibra the Hastler aliomshirikisha Msanii Loon kutoka Marekani miaka kadhaa iliyopita naomba auweke hapa jamvini. Nadhani huo wimbo unaitwa Loon Bongo.
Me ninao una sh . ngapi?
HUWEZI KUYOU TUBE AMA KUUGOGLE kutumalizia tu,m8
Binti umemaliza form Six hauna shughuli za kufanya sio,embu jiandae uende JKT wanajeshi waende kukugoogle na kukupa mitarimbo.
Ubint wangu muulize mkeo na dada yako iliywatoa bikra ni nani ndio uje kulopoka hapa
Wewe utakuwa ni Lesbian Girl.
Wewe utakuwa ni Lesbian Girl.
Mtani wangu Mussolin5 nifanyie mpango basi,nauhitaji sana huo wimbo Mkuu.