Nini maana ya mixtape

Nini maana ya mixtape

KIOO

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2013
Posts
6,249
Reaction score
5,936
Salaam wadau.

Hope u are doing just fine......well, kama uzi unavyojieleza wee unaelewaje unaposkia neno MIXTAPE, msanii anafaidika vipi kwa MIXTAPE.

MIXTAPE hutoka wakati gani labda, chochote unachojua kuhusu MIXTAPE sio mbaya ukatujuza.

THANKS.
 
Mixtape ni mkusanyiko wa nyimbo kwny cd au kanda moja.... yani nyimbo ambazo zina idea tofauti...kwamba jina lake linaweza lisisadiki yaliyomo kila nyimbo inajieleza yenyewe.... mfano mwenge to kiwalani au ile ya wakazi.... kwa kawaida huwa zinatokaga bure jst for watu tu kupata mziki wako... na unaweza kusampo beat bila mwny beat kumind kwa sababu haiuzwi... ila pia unaweza kuuza ila zinakuwaga sio bei sawa na zile za album... huwa bei inakua less
 
Mixtape Huwa hawauzi na wala msanii hafaidiki na chochote kwenye mixtape
 
Mixtape ni mkusanyiko wa nyimbo kwny cd au kanda moja....yani nyimbo ambazo zina idea tofauti...

Na huwa inatoka muda wowote tu au kipindi gani mkuu ?.

Na producers ni tofauti au same producer ?.

Perfomance je ?.
 
Na huwa inatoka muda wowote tu au kipindi gani mkuu ?.

Na producers ni tofauti au same producer ?.

Perfomance je ?.

Producer cjajua ila nahisi anaweza kua yoyote... performance sio lazima aperform kwasababu sio oficial songs ila km zimehit anaweza akaperform for his/her fans... ni muda wowote tu anaweza kutoa.... mixtape... sio oficial...
 
Mixtape ni mkusanyiko wa nyimbo kwny cd au kanda moja.... yani nyimbo ambazo zina idea tofauti...kwamba jina lake linaweza lisisadiki yaliyomo kila nyimbo inajieleza yenyewe.... mfano mwenge to kiwalani au ile ya wakazi.... kwa kawaida huwa zinatokaga bure jst for watu tu kupata mziki wako... na unaweza kusampo beat bila mwny beat kumind kwa sababu haiuzwi... ila pia unaweza kuuza ila zinakuwaga sio bei sawa na zile za album... huwa bei inakua less

Yeah umemuelezea vizuri kwa kiasi chake...kuuzwa kwa mixtape ni kurudisha Garama zilizotumika sio kwa lengo la kufanya big deal kama ilivyo kwenye album.
 
Ni kweli mkuu hili suala...

Hata akipafom kwa huo wimbo mkuu ?.

Akitoa mixtape huwa haiuzwi labla akapafom kama ulaya huwa wanatoa bure! sijui kama nitakuwa sahihi
 
Back
Top Bottom