Wana Jf
Sasa hivi nina kama miaka 5 nacheza online betting(ladbrokes.com), napendelea sana soccer, sometime ice hockey,
tennis, baseball na basketball. Kuna wana Jf humu jamvini wanatumia hii...
"Again n again" - Ni mtazamo tu!
Laiti kama ningelikuwa FID Q Mwana Hiphop mkali Bongo;
- Ningepiga collabo na Fat Joe faster pale tu nilipokutana nae na kuonesha kukikubali kipaji changu.
-...
Kwa wale wapenzi wa mieleka kama WWC, WWA. Ambapo kuna wapiganaji kama John Seaner, Hulk Hogan, TRIPLE H. na wengineo.
Swali; Hivi kwanini hawa jamaa licha ya kupeana vipigo vya mbwa mwizi...
Ilitangazwa kuwa wata wakilisha Tanganyika kwenye hiyo project.
Lakini namuona Fid q na narleal tu wakiwa huko Nairobi.
Vipi hao wengine au ndo zilikua story za vijiweni tu?
Yaaap! samahani lakini! Bila shaka tunaenda sawa. Laiti kama ningelikuwa Ally Kiba, ningefanya yafuatayo;
- Ningeua nyani huku namuangalia usoni. Yaani ningevunja vunja uongozi wangu wote na...
Jamani jana si ndo zanzibar wanjera
Concert ..cha kushangaza hakuna anayetoa yaliojiri vipi ilikuwaje na mashauzi ya Mr vishimo mpaka sasa hivi IG kimya naye mama Wanjera kimya wars going on
Wakati 'Nasema nawe' bado gumzo, Chibu kadondosha hit la maana 'Nana'. Na sasa kuna track jipya lime leak, pata wasaa umsikilize dogo, ni noooma aisee..
Wasanii wetu wanafanya kazi kubwa sana.... hii nadhani imetokana na kufanya mziki km kazi zingine tu...
Playlist yangu bongo fleva ina asilimia kubwa sana compare to other music....
Km huna hizi...
Habar wakuu!
Ni mwezi huu June ambapo Mfalme ataenda kubeba tuzo zake 7 za KTMA
Ni mwezi june ambapo Video ya chekecha itakapokwenda kutoka ambapo inategemewa kwenda kuvunja record ya video...
Wapenzi wa burudani mnaonaje kuhusu aina ya nyimbo na maudhui wanayoimba hawa wasanii.Ni yupi unamkubali zaidi,unafikiri wangekuwa watunzi wa stori za maisha wangefanya vizuri zaidi...
A talent is jus a talent no matter how many criticism and hate but the guy is still doing some good work.
Kazi nzuri sana hongera Diamond hongera Iyanya.
Watch "Iyanya x Diamond - Nakupenda...
Leo nimeamua nimwagike kuwahusu Bongo movie, wanaofanya hii shughuli hasa kampuni zilizoshika soko. Sitaki kuamini yasemwayo kuwa wengi wenu hamkwenda shule na hii kazi mnaifanya kiujanja...
Sipati picha kama huu wimbo wa shikorobo angeuimba diamond nahisi ungekua wimbo wa taifa maana kwa hadhi ya shetta na hadhi ya wimbo ulipotakiwa kufika bado sana maana wimbo ni mkali sanaaa
Kabla sijamwagika, ieleweke tu kuwa mimi nipo kwenye hii industry pia, na ninakaribisha walio kwenye hii game wachallenge hoja, simaanishi mashabiki au wasikilizaji wa muziki, bali producers na...
okey!!...
kwa wale walio iona movie ya escape from sobibo, hv ile ni story ya kweli? maana! tukumbushane basi baadhi ya matukio amaizing kama ya wale wafungwa kuruka juu ya senyenge na kutokea...
Hivi ni kwanini muziki wa Jazz wenye asili yake huko nchini Marekani sio maarufu hapa nchini Tanzania? Miziki ya aina nyingi kutoka nchini Marekani ni maarufu sana hapa kwetu kama vile Reggae, Hip...
For a parent, few things are as wonderful as watching the children enjoy day after day of fun in the backyard. It's a place where toddler involve with fun games. Trampolines are a great source of...