Mkaruka
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 19,933
- 34,915
Wapenzi wa burudani mnaonaje kuhusu aina ya nyimbo na maudhui wanayoimba hawa wasanii.Ni yupi unamkubali zaidi,unafikiri wangekuwa watunzi wa stori za maisha wangefanya vizuri zaidi? "BEST NASSO SONGS" 1.Edgar 2.Maisha ni utata 3.Mamu wa Dar 4.Narudi Kijijini "ALIKIBA SONGS" 1.Mapenzi yanarun dunia 2.MacMuga 3.Karim 4.Dushelele 5.My Everything