ukweli wote upo hapa. Escape from Sobiborokey!!...
kwa wale walio iona movie ya escape from sobibo, hv ile ni story ya kweli? maana! tukumbushane basi baadhi ya matukio amaizing kama ya wale wafungwa kuruka juu ya senyenge na kutokea upande wapili,, wapi bongo movie!?
nakumbuka pale wale wazee walivyochomwa moto jamani nilipoona hapo sikuweza kuimaliza hii movie kwa kweli
Mi nakumbuka pale wale waliochemsha kutoroka walipoambiwa wachague wa kufa nao kisha wakauliwa mbele ya wenzao wengine kama fundisho kuwa ukiona mwenzako anatoroka basi toa taarifa la sivyo akikamatwa itatakiwa auliwe na pamoja na mtu mwingine wa chaguo lake!
Inasikitisha sana!
Ni true story!
​Nakumbuka pale mtoto akvuliwa nguo ile anaanza tu kukimbia jibwa jeusi likaambiwa limkamate afu hana kwa kukimbilia na mbele kuna ukuta mrefu ka mnara wa babeli
Daaah nakumbuka pale mzee anapowapakulia chakula mateka wenzie huku anakula mijeledi ya kufa mtu
Kaanzishe uzi wako juu ya mnara wa babeli,naona gafla mnara wa babeli umekua maarufu, karne ya 21 hasa bongo y!?