DissDotCom
JF-Expert Member
- Mar 31, 2014
- 395
- 271
Sipati picha kama huu wimbo wa shikorobo angeuimba diamond nahisi ungekua wimbo wa taifa maana kwa hadhi ya shetta na hadhi ya wimbo ulipotakiwa kufika bado sana maana wimbo ni mkali sanaaa
Atafika tu... tuwe na subira... au labda uNigeria mwng umechangie usiwe mkubwa km unavotakiwa
Unaija umekua trend title za nyimbo meaningless anyway inalipa kwa kiasi flani ila kutoboa kunahitaji uvumilivu kidogo
Atafika tu... tuwe na subira... au labda uNigeria mwng umechangie usiwe mkubwa km unavotakiwa
Unachosema kina ukweli
Wanapeperusha ya wapiyah ni kweli asa hv hawapeperushi bendera ya TZ
Wanapeperusha ya wapi
Wanapeperusha ya wapi
Ipo africa?Sudani kusini.
Kumbe walipewa na mabalozi wa NG&S.Aya NIGERIA na SOUTH A.
yah ni kweli asa hv hawapeperushi bendera ya TZ
Aache kumtaja kahaba Jokate anaboaaaaa