Ben Pol 'our John Legend'

Ben Pol 'our John Legend'

Makini

Senior Member
Joined
Dec 23, 2014
Posts
154
Reaction score
59
Jamani, Ben Pol can sing.

Yani anasisimua sana na kipaji chake. Aliwahi kusema kati ya simu kumi anazopokea, nane ni za kuombwa kupiga chorus. Hao watu wanaona anavyoimba vizuri ndo maana wanamuomba, anapendezesha sana nyimbo.

Namuona kama John Legend, or maybe Stevie Wonder, kabla hamjaanza kunishukia nimemfananisha na hao kwa sababu wako famous zaidi. Nakifurahia sana kipaji chake, I hope atazeeka anaimba asije kuishia katikati.

Keep it up Ben Pol!!!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom