Yamoto Band: Nisambazie Raha official Video

Yamoto Band: Nisambazie Raha official Video

Wako poa ila sasa wimbo mrefu hivo hata kupata airtime kimataifa ni ishu
 
ila wapunguze kuimba matusii ndo maana wanapotezewa kwenye tuzo...
 
Kazi nzuri vijana Inaonyesha wamejipanga vizuri kimziki hawakurupuki tuu kama uyonga
 
Ni kweli kabisa wakipunguza matusi nyimbo zao zitabamba sana. Wanajitahidi sana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom