Mmiliki wa Bongo 5

Mmiliki wa Bongo 5

ugonile

Member
Joined
Feb 2, 2013
Posts
37
Reaction score
9
Jamani wanajamii wenzangu naomba MwanaJamii yoyote ambaye anajua ama alishafatilia mmiliki wa website ya Bongo5.
Maana kwa tafiti chache niliyofanya inaonesha wazi Clouds Media Group wana ubia mkubwa sana website hiyo maana siyo kweli kwamba kila habari exclusive zinatoka Clouds Fm. Yako mengi ila kama la leo kuhamia Clouds Fm Dj Ommy Bongo5 Imeiandika sana na mambo mengine.

Mbona kulikuwa na habari ya mjini kufunjika kwa kipindi cha Planet Bongo na ujio mpya wa show hiyo hakuna kilichoandikwa Bongo5?

Au ujio wa Dj mwanamke mkali Tanzania, Dj Sinorita na Dj Ommy crazy EA radio lakini hawaja andika? Je, kwa vile ni vituo. vyenye ushindani na mmiliki ni Clouds ndo maana hawaandiki habari za EA radio ama?

Mawazo jamani..
 
uandishi wako unatabu kweli, anyway mi sijui
 
Mmiliki Luca Negheti, mume wa Nancy, na wameajiri vijana pale wanao andika hizo story, mmoja wa waajiriwa ni mdogo wake Nape! Ndukiiii...
 
Clouds haina umiliki wwte wasiwasi wako tu wa kutaka kuleta doubt na mabeef yasio na msingi.... na hio habar... kwaio we huonagi habar wanazo quote kutoka eatv na eaRadio umeona hio tu....
Hoji vitu vya msingi
 
Asante sanaaaa! Nimekuelewa. Vizuri sanaaaaaa!
 
Back
Top Bottom