Joh Makini mwaka 2014 ajabu kwa 2015

Joh Makini mwaka 2014 ajabu kwa 2015

ISLETS

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2012
Posts
8,118
Reaction score
5,369
Wakuu huyu msanii level nyingine kabisa karibu kila wimbo alioimba mwaka 2014 hata za kushirikishwa zimekuwa nominated kwenye tuzo za killi music award. Mfano wa hizo nyimbo ni;
1.gere-joh, nick II, G Nako.
2. xo- joh ft G nako.
3. unanichora- ben paul ft joh.
4. ni penzi
5. vitamin music- belle9 ft joh

live long Joh...+ weusi wote..
 
Hajui kukosea huyu jamaa..na weusi ndo kundi bora la hip hop bongo kwa sasa
 
Jamaa mkali sikuzote hajawahi kuchuja, anangoma yake mpya nimeisikia kidogo leo nayo nahisi itakimbiza
 
Si ndio vizuri jamani? Joh ananikosha sana.Napenda flow yake na hata vina vyake.Ndiye msanii wa hip hop anayenikosha zaidi akiimba nyimbo za mapenzi!
Hadi leo hii wimbo wa chochote popote ni bora sana kwangu.

Basi unajua vitu vizuri,hana pozi yuko poa tu,ntamfkishia salamu.....
 
Si ndio vizuri jamani? Joh ananikosha sana.Napenda flow yake na hata vina vyake.Ndiye msanii wa hip hop anayenikosha zaidi akiimba nyimbo za mapenzi!
Hadi leo hii wimbo wa chochote popote ni bora sana kwangu.

alafu staili zake za kuflow sijui huwa anazitoa wapi yani maana ziko tofauti kabisa na ile hip hop ambayo wengi wanaimba
 
alafu staili zake za kuflow sijui huwa anazitoa wapi yani maana ziko tofauti kabisa na ile hip hop ambayo wengi wanaimba

Jamaa yuko unique,mpole flani hivi tofauti na mdogo wake ananiboa sifa nyingi.
 
Back
Top Bottom