Mtazamo: Hata Kiba akifikia levo za Diamond zitaundwa team za kumshusha

kende

JF-Expert Member
Dec 2, 2013
3,527
1,660
Heading inajieleza, namaanisha kwa jinsi watanzania tusivyopenda mtanzania mwenzetu atuzidi saana, yaani kama kutuzidi atuzidi kidogo tu, aendelee kuwa wa kawaida.

Naamini kabisa kwa tabia hii hata huyu Kiba wanayejifanya wanampenda sana sahivi na 'kuforce' awe juu kilazima ikifikia hatua kawa juu levo ya Diamond zitaibuka team za kutaka kumshusha tu!

Yaani SISI MITANZANIA sijui tukoje!
 

BansenBurner

JF-Expert Member
Feb 16, 2015
6,815
5,745
Kweli kabisa akipata mafanikio ataonekana tu anaringa au ananata kwa jinsi yoyote. Hivyo ndivyo watanzania tulivyo
 

tweenty4seven

JF-Expert Member
Sep 21, 2013
14,506
17,002
Heading inajieleza, namaanisha kwa jinsi watanzania tusivyopenda mtanzania mwenzetu atuzidi saana, yaani kama kutuzidi atuzidi kidogo tu, aendelee kuwa wa kawaida.

Naamini kabisa kwa tabia hii hata huyu Kiba wanayejifanya wanampenda sana sahivi na 'kuforce' awe juu kilazima ikifikia hatua kawa juu levo ya Diamond zitaibuka team za kutaka kumshusha tu!

Yaani SISI MITANZANIA sijui tukoje!

Nyota ya domo imewaka huyu kiba hata alale uch...iii mlingotini bagamoyo hataifikia hata robo.......yeye alipata ile bahati y kipindi kile n Rkelly hakuweza kuitumia.
Bahati haiji mara 2 muda wake umepita domo ni level nyingne kabisa
 
  • Thanks
Reactions: Mpu

Mchiwa Ng'ambaku

JF-Expert Member
Jan 24, 2015
959
798
Huyu nae ni meneja, sasa hapa ndo anatuliza hiyo team yao au ndo anachochea:confused:
 

Attachments

  • 1434574006280.jpg
    1434574006280.jpg
    28.4 KB · Views: 398

mgeni3

JF-Expert Member
Jun 4, 2010
228
63
Watanzania hawamchukii kaka mkubwa ila ni wasanii wenzake ndio hao wanatengeneza magroup ya kuchafuana, kwa mfano sasa hvi ukiingia instagram kila anayepromo davido apigiwe kula mcheck profile yake utaona picha ni nani hasaa kamtuma, na pia most of hizo akaunti ni fake so kuna uwezekano mkubwa kbsaa ni mtu mmoja ana tecno 10 zina akaunti za majina tofauti tofauti huko insta kwa lengo moja tu kutimiza alichotumwa na sponsor wake. Ukifuatilia saaana uandishi, reaction yake , namna anavyoact most of times na justification anayotumia utagundua ni mtu mmoja tu au ni watu hawazidi watano wanaakaunti 3 tatu labda.
 

mwacheni77

JF-Expert Member
Apr 11, 2011
763
209
Mwenyezi mungu anasema alichokipandisha yeye binadamu hawezi kishusha na alichokishusha yeye binadamu hawezi kipandisha...
 

Deo Corleone

JF-Expert Member
Jun 29, 2011
16,064
10,215
Toka uanze kumchukia diamond /Ali kiba,maisha yako yamebadilika??

Unamchukiaje mtu ambaye hakujui,Hana direct impact kwenye life yako??

Wengine wanatamani hata funguo za vyoo vyao wazichukue wao ili wasije bila ruhusa yao.

Watafurahi zaidi wakisikia haya wamekatika sauti ili wasiimbe tena.

Kama humpendi mtu ,usimchukie.

Acheni uchawi katika umri mdogo
Hizo ni tabia za kissenge.

K.L.M.Z
 

Similar Discussions

3 Reactions
Reply
Top Bottom