Tujikumbushe kampuni za video za zamani, hasa kwa Bongo Fleva

Tujikumbushe kampuni za video za zamani, hasa kwa Bongo Fleva

Kranium

Senior Member
Joined
Oct 20, 2014
Posts
130
Reaction score
392
Nakumbuka mwanzoni mwa miaka ya 2000 video nyingi za bongo fleva zilirekodiwa na list ya kampuni zifuatazo:

1. Royal production
2. Mwananchi videoz
3. African pictures
4. Benchmark
5. 2 eyez
6. G videoz

Kama unazikumbuka nyingine unaweza ongezea!

Sijui kama bado zina-exist?
 
Empty souz videoz, kalage pictures,
 
Empty soulz, next level hawa walianza 2004 kama sijakosea

Akafatia Kalage pictures 2008
 
Hivi IPP media hapo ndio walikuwa wanamiliki kampuni gani,,, Kulikuwa ni zile video zao nyuma linawekwa pazia nakumbuka Uswahilini Matola waliwahi kufanya video kama hiyo zamani, nyuma linawekwa Wallpaper tu
 
African pictures walikua bora sana kwenye colour enzi izo
 
Back
Top Bottom