kibaravumba
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 6,633
- 7,021
Niliwamis sana kupitia ITV ila niliposikia mnarusha kupitia clouds nilishaamua sitaangalia tena vipindi vyenu!Ukweli ni kwamba siwapendi kabisa hawa jamaa wa clouds kwani wamefanikiwa sana kuwabadili watoto na watu wazima wasiojitambua kuwa watumwa wa wazungu na ccm katika mambo meengi.