Mtanifanya nikufwe........uwiii........nikimpigia Masawe simu saa hizi kuweka order ya ndimu...........atakuwa hajalewa kweli..........?.....nishaurini.......
Hahaha...huwa nakupendea hapa tu kwenye makomenti yako Dr...
Kuna timu kununa hapa niko nae ovyoooo hata story hapigi kisa mond daaaa ilike the guy
Dr nina mawazu.......nimeze vallium.......?......
Teh teh...unataka kuzima dr?
Ndio Dr.....kwa muda huu hizi habari zimenijia ghafla sana.......sikuzitegemea kabisa........