Davido na Diamond wathibitisha ujio wa collabo yao mwezi ujao

Davido na Diamond wathibitisha ujio wa collabo yao mwezi ujao

Kidingi

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2012
Posts
1,872
Reaction score
1,832
Baada ya wote wawili kuibuka washindi kwenye tuzo za MTV MAMA 2015 zilizotolewa Jumamosi iliyopita Durban, Afrika Kusini, Davido na Diamond wameweka wazi ujio wa collabo yao mpya.

Wakiwa na furaha huku wakiwa wamebeba tuzo zao mikononi mara baada ya tukio la utolewaji tuzo hizo kuisha, staa wa Nigeria Davido akiwa na Diamond ametoa ahadi ya collabo yao mpya.

Katika kipande cha video Davido ametamka kwa kinywa chake: "New F*ckin Diamond and Davido we gonna drop in next month, we do this f*ckn East Africa West Africa biggest artist we do this… we are uniting…"

Wakati Davido akiyaongea hayo, Diamond alikua akiitikia "I'm telling you".

Diamond aliibuka mshindi wa tuzo ya ‘Best LiveAct' na Davido naye aliibuka mshindi wa tuzo ya Best male ambayo pia alishinda mwaka jana.



Chanzo: Bongo5

=====

MTANYOOKA TU!
 
Last edited by a moderator:
Itakuwa another big hit maana wanakutana tena wakali wakiwa katika mood. Hivi mashabiki wa Kibaka wataendelea kumshabikia Davido?

#WatanyookaTu !
 
these two guys are killin' z music industry inn Africa,xo mwenyw naexpect bonge moja LA ngoma kutoka kwao..tchaoooshiii
 
Mwenzako mi ni turufu
si garasa
mwenye nyota ya umaarufu
si kupapasa
Tena jokeri la nguvu
Makarata oooh
Tena hodari wa nguvu si kwasakwasa

pipooooooooooz kaaaaaaama nawaona vile wakina mwafulani na kiongozi wao le kimbaz walivyo panick hahahaha

NEXT STOP
+ July 24, Moshi
+ August 1, Kenya Nairobi
+ August 8, Tanga

MTANYOOKA TU!!
Wapi walinda tembo kwa kujitolea??
Mtajuta kutufahamu hahahaha!!!!
 
jamaa kashuka kisanaa kampigia magoti davido...na bado mpaka ataenda kwa shekau wa boko haram
 
tunahitaji majembe kama haya mawili tu mtanyooka kaza dogo chibu tusha kuelewa
 
Back
Top Bottom