Vipi Skylight band

Vipi Skylight band

Playboy

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2011
Posts
1,170
Reaction score
945
Nasikia hii bendi imeingia siafu na kufanya meanadada annet kujitoa na kuunda bendi yake kisa #papaaa aliyekuwa akimtunza kuamisha majeshi kwa bidada mwinginee.haya wenye ubuyu wa kutosha waumwage hapaa
 
Na wengine kurudi kwa jide kumpigia magoti wakidai walitumika kumuharibia maisha yake asipate maendeleo
 
Hii band ilikua na mission moja tu ambayo kimsingi ni kama imekamilika
Kumbomoa Jide...........

Jamaa walii promote kwa nguvu zote kama mbadala wa Machozi na wakapora mikataba kibao ambayo jide alikua ana perform
Matokeo yake Jide wa watu chaliiii
Na wao wametelekezwa
 
Back
Top Bottom