whitedoug3
Senior Member
- Nov 6, 2014
- 108
- 26
Habar wanaJF?
Wwapenzi wa burudani, wapenzi wa bata( team kula ujana). Nachukua nafasi kuwataarifu kwamba new maisha club inahama masaki na kuelekea makumbisho.
Nyuma ya millenium tower kwenye jengo la lapf... Basement flor!
Hivyo na jina limebadilishwa, kutoka new maisha club mpaka maisha basement... Na inafunguliwa rasmi sikukuu ya idd...