Msipeleke Nchi chooni...

Msipeleke Nchi chooni...

Nje ya Mada

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2015
Posts
1,399
Reaction score
492
Umeisikiliza nyimbo mpya ya Chid Benz "benzino" a.k.a Chuma!?

..msituletee habari hizo, msijifanye mnataka sana mabadiliko hata kumpa mwizi, ukiwa mwizi uraiani huwezi kuacha ikulu.

...sichagui fisadi mvi zimejaa dhuluma.

...watu wana matatizo nyie mnaleta masiharaaa sio, natumia sauti yangu kukataza vibaka wasiende ikulu.

Hiyo Ni baadhi ya mistari ya wimbo huo.
 
Chid Benz kuna wakati anakuwa na Akili sana
 
Back
Top Bottom