deonova
JF-Expert Member
- Apr 22, 2013
- 742
- 420
Salaam kwenu wana JF,
Kuna huyu Rapper mtoto wa kike wa kujiita, Chemical, anayetamba na hit single ya Sielewi aliyomshirikisha Soprano kwenye chorus, OMG! Naomba kumpa salute!!! Mtoto ametambaa vizuri sana asee, mistari very unique, hii ndo substitute ya akina Dataz, Sister P, and the likes...
Huyu mtoto akipata management nzuri namuona mbali sanaa ktk rap. Kichupa cha wimbo tayari kiko kideoni.
Much respect kwa producer, beat imesimama sana.