Track mpya ya Koffi Olomide (MOPAO)

Track mpya ya Koffi Olomide (MOPAO)

Gudasta

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2011
Posts
620
Reaction score
1,138
Kia wale wapenzi wa Muziki wa Congo sana sana wale washabiki wa Legrand Mopao, fungua hiyo link uenjoy track yake mpyaa. Mimi binafsi huyu bingwa namkubali sana.

Last edited by a moderator:
Pamoja na utu uzima wake bado ngoma iko vizuri aise
 
Huyu bingwa ni noma sana yupo kwenye game over 30 years lakini kimuziki bado yuko siti sana
 
Na hii habari ya Selfie utazidi kupendwa huu wimbo...mara zote anajielewa Koffi
 
Jamani hebu tuwe wakweli, huu wimbo ni mzuri kweli kwa viwango vya Koffi Olomide?

Mimi kama mimi, nimeona wimbo ni mbaya, video ni mbovu!

Mnisamehe bure, Koffi ni moja ya wasanii wakubwa sana kwangu, hii ngoma ni mbovu.
 
...coz unapenda vitu vinavyofanana na magamba; no wonder upo tofauti na wengi!!
 
...coz unapenda vitu vinavyofanana na magamba; no wonder upo tofauti na wengi!!

We jamaa unamjua Koffi Olomide?

Usipende kusifia kitu kwa vile kila mtu amekisifia, kuwa na mtazamo wako na usiogope kuutoa mbele ya watu ndugu.
 
Back
Top Bottom