Kundi la hip hop mbeya!

Kundi la hip hop mbeya!

Antennah

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2015
Posts
6,985
Reaction score
9,131
Samahani sana wadau, mi naishi mbeya pande za mwanjelwa hapa. kuna mshkaji wangu hapa anajua sana kuflow yan kuimba muziki wa hiphop, kwa sasa anatafuta kundi lolote la muziki huo aweze kujiunga ili waunganishe nguvu pamoja nakupeana changamoto na new ideas ikiwa ni pamoja na kusaidiana kimuziki. Kama kuna yoyote ni msanii na yupo kwnye kundi au crew flan please mshkaji anaomba kujiunga, au hata kama upo mwenyewe na utapenda kuungana nae na kuwa crew moja nayo iko poa pia. tutafute kwa namba 0717148052, SAMAHANI WADAU HII NI KWA WANAO ISHI MBEYA, ikikukera pita mdau plz.
 
Watakuja tu mkuu.Full kuendeleza harakati.Pia zungukia studio za hapo Mbeya City utapata unawahitaji.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom