Leo nimeona kitu cha tofauti sana pale leaders club... Ni kama vile tunaweza hivi DJ mmoja mkali sana aisee wanamuita mafuvu, halafu wasanii wetu kama kuna improvement flani hivi kwenye stage...
Kama mlivokuwa mnafanya kwa Rais Kikwete, mfanyieni sherehe ya kuzaliwa Rais John Magufuli!
Ukaribu wenu na CCM/Rais ulipelekea malalamiko mengi sana kwa wasanii hasa wale waliokuwa against na...
Kwa wale wapenzi wa Cold Play,
Hizi ndizo nyimbo za Cold Play ambazo zimeuza sana.
​
Fix you.
Viva la Vida.
Paradise
Magic
Fun
The Scientist
A sky full of stars
Yellow
Clocks
Every Tear...
Natamani bigiji ingeuzwa laki,gunia la gomba lingeuzwa jero/
Ccm sare ziwe kaki,chadema wangetinga kijani na yellow/
Igundulike Tiffa ni mtt wa Linex na Zari/
halafu Jackline Wolper ndo alikuwa...
Katika gemu hii ya Hip Hop Kuna wakali wengi sana wametokea hadi Leo... Wafuatao Ni wakali 10 toka kwangu.
10. Solo Thang "Ulamaa"
09. One the Incredible
08.Jay Moo
07.Hashim Dogo
06.Afande...
Habar wana JF.
Najua JF kuna watu wenye ujuzi au vpaji mbalimbali.Nikiamua kujifunza drums but napata shida kwenye mazoezi.Nimejaribu kupakua drummless tracks kwenye mitandao nmeshindwa, kama...
Mwenye gitaa jipya au used lakni lipo kwenye hali nzuri tuwasiliane kwa namba 0653 257566. Liwe ni galatoni lenye umeme pia, napenda yale yenye muundo wa kisasa. Screenshot Whatsapp.
Zamani kidogo clouds Fm walikuwa na doctor beats ambayo kwa sasa inaitwa xxL. Alikuwa anasimama Bony luv kama DJ na ML Chris kama Mc ilikuwa muziki mwingi, salamu kidogo na story kidogo. Akaja...
Ni quotes gani kwenye series movies,songs kama za hip hop umezipenda,au mwigizaji /rapper, gani akiigiza kila anachoongea kwako ni quote kali.
Movies
-----------------------------------------...
India?s pioneer in Express Distribution and Supply Chain Solutions, Gati Limited offers a customers? conjunction platform with Gaticonnect takes online jewellery shopping india to the next level...
Kwa niaba ya wapiga gambe wote nawalaani live band wote kwenye jamhuri hii ya mashaka.
inakuaje wooote wa waimbaji wenu sauti zenu zinafanana 100% iwe Mtwara au Kigoma.
Mnatuibia
Mnadhani...
Habari,
Natafuta wimbo wenye maneno haya ndani yake
"Umaarufu utapita ila mapenzi yatabaki palepale cha msingi simamia..." .
Sifahamu jina la wimbo, ila sauti ya msanii ni ya TID, mwenye huu...
Achana na Yamoto Band, Twanga Pepeta nk. Habari ya mjini sasa ni MaSaMa Band. Imeanzishwa tarehe 5 November 2015. Wamiliki wa band hii ni watanzania wote. Wakati wa kuanzishwa kwake, karibia...