[New song] Ekothee ft Diamond Sweet love

Tangopori

JF-Expert Member
May 11, 2012
1,628
1,283
Mdada wa Kikenya Akothee yuko njiani kuachia video yake na Diamond inayoenda kwa jina la sweet love.

Hii hapa teaser ya video.
 
Kama mbeleeeeeee

Akothee ft. Diamond - sweet love
AY ft. diamond - zigo remix
AKA ft. Diamond
Mafikizolo ft. Diamond

Chillah ft. Diamond, Bob junior ft. Diamond

TUNAZISUBIRIIIII
 
kuna ngoma kwa madai yao imevuja ila siamini ni ya diamond inaitwa Hello. kali sana yani kanikumbusha enzi za ngoma yake ya ukimuona. nzuri kweli
 
Kama mbeleeeeeee

Akothee ft. Diamond - sweet love
AY ft. diamond - zigo remix
AKA ft. Diamond
Mafikizolo ft. Diamond

Chillah ft. Diamond, Bob junior ft. Diamond

TUNAZISUBIRIIIII
naitamani sana iyo ya bob jnr na dai,tena beat apige mwenyew mr. choklet ndo ngoma itabamba coz anamjulia sana dai as yeye ndo alimtoaga kitambo icho!
 
Back
Top Bottom