Huu wimbo sikumbuki ni msanii gani aliimba ila Mr Blue alishirikishwa kwenye chorus na kiitikio chake kilikua kina sema "me sielewi aaaaaaaah,anataka nini aaaaaaah.....ina biti nzito na jamaa...
Jina la msanii simjui lakin ni kama mlemavu wa ngozi,jinsi unavyoibwa masela wangu ehe sina pamba za kupandia jukwaani nifanye nini au niache fani,mwenye kuujua au ambaye anao anitumie tafadhali
Ni wa miaka mingi kidogo lakini siukumbuki jina lake.Nakumbuka kati ya 2002 au 2004 ulikuwa unachezwa radioni tu, sana sana Clouds FM. Waimbaji wa wimbo huu ni yule dada wa kuitwa Keisha na...
Ndugu wanaJF,
Zile tuzo kubwa kuliko zote Barani Afrika zimewadia. Msimu wa Mavuno kwa wasanii wa muziki kutoka pande mbali mbali za Afrika umebisha hodi. Ni KORA-All Africa Music Awards 2016...
Show iliyofanywa na wakali wao modern taradance chini ya thabit abdul imeacha gumzo. Ilikuwa ni uzinduzi wa albamu yao mpya ya sioni thamani ya pendo.
Maelfu ya watu walihudhuria show hiyo...
akihojiwa kwenye kipind cha kwa raha zetu na gea habib wa clouds shilole kasema anahamia kwenye taarab na wimbo ashauandaa
USHAUR;MWEEEEH BIBI WE HATUKUTAKI KWENYE TAARAB PYEE HATUTAK MASTAA WAVA...
I noticed there's almost only sports in this section even though it says we may also talk about music. It kinda made me hesitate on whether i should post this here or somewhere else, but I decided...
Buffalo Soldier"
Buffalo Soldier, Dreadlock Rasta:
There was a Buffalo Soldier in the heart of America,
Stolen from Africa, brought to America,
Fighting on arrival, fighting for survival.
I mean...
Shalom brothers and sisters,
I great you all in the Mighty name of our Lord and Saviour Jesus Christ.
The essence of this thread is to herald to the world the good news of salvation bestowed upon...
Hii ilikuwa ni radio ya watu. Au ndio brand saturation, competition au nini?
Je FACTS ni zipi kwenye hizi tuhuma zisizokweisha kila kukicha? Na kwa nini wawe wanalalamikiwa wao kila siku wakati...
Huyu dogo alikua akiimba tangaia 2011 lakini nilikua naona mzushi flani tu anayependwa tu na watoto wakike ma teenagers kutokana na mihemko.
Lakini siku hizi nyimbo zake zimenishawishi, na zipo...
Wanajf mnaozijua nyimbo za injili na waimbaji wake naomba msaada.
Upo wimbo mmoja mzuri sana wa injili wenye mahadhi ya kwaito nahitaji kufahamu mtunzi wake na jina la wimbo
Baadhi ya maneno...
1.diamond
albums 1.kamwambie(2010)
2.diamond forever(2012)
2.alikiba
albums 1.Cinderella(2007)
2.ali k for real (2010)
3.bushoke
albums 1.barua(2004)...
habari wakuu wa JF kama kichwa kinavyojieleza hapo huo wimbo unaitwa ASU umeimbwa na band Inaitwa BABLOOM nimejaribu kutafuta mitandaoni nimeukosa mwenye nao anisaidie tafadhali
natanguliza shukrani
Kwa simple observation yangu nimeona hiki chombo hakina nguvu kama Nay Wa Mitego alivowaimba. Kwa maana tumekuwa tukisikia wakitoa maonyo kwa wasanii kadhaa na wengine kuwafungia kabisa.
Msanii...