Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Leo ni miaka mitano tokea mfalme wa pop afariki dunia....unamkumbuka kwa yapi.... 1.Mwanamuziki wa kwanza mweusi kuingia ikulu ya marekani 2.Mgonjwa wa vitiligo maarufu zaidi(ugonjwa wa ngozi...
3 Reactions
46 Replies
16K Views
Baada ya kuoneka mziki huu wa singeli kuja kasi na jamii kuupokea vizuri bado naziona changamoto. Kinachonifanya nianzishe uzi huu ni kutokana na kuwaona wanaume wamevaa madela huku wakikata...
0 Reactions
26 Replies
5K Views
hahaaaaaa
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Huu wimbo hauna tatizo kama haujaoa na uko peke yako tu unausikiliza ila hausikiliziki kwenye watu mnaoheshimiana. Unahamasisha au unaonesha kuwa kumtafuna shemeji haina tatizo. BASATA wapo tu.
0 Reactions
1 Replies
963 Views
Fanya kupitia hapa www.youtube.com/watch?v=dxd7ddCve4o
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Trying to cope
0 Reactions
0 Replies
539 Views
! ! Upumbavu mtupu... Mi play back ya kijinga mno. Nipo nawaangalia hapa clouds tv ni ujinga mtupu yani. Ngojea nikanunue kiroba kingine. ! ! Tukiachana na Bill Nass... Huyu Da Prince ndio...
6 Reactions
106 Replies
8K Views
Wimbo wa shaa uendae kwa jina la sugua GAGA mpaka leo tarehe 21/8/2016 umeangaliwa duniani na watu wengi kuliko wimbo wowote wa kiswahili mpaka sasa umeangaliwa na watu 21,220,644 HII NI REKODI...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Habari wakuu, Ile movie yetu kali tulioisubiri kwa muda mrefu imetoka. Mwenye link ya kuidownload au site anisaidie.Nimeitafuta hadi torrents lakini wapi.Au ndo mpaka cinema only.
1 Reactions
4 Replies
1K Views
kipicha chenyewe kimoja wanashirikiana kukituma hicho hicho kuonyesha kuwa ilifana kumbe ilikuwa ni total failure... Hiyo picha imekuwa doctored(photoshopped) ili kuudanganya umma...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
11 Reactions
111 Replies
20K Views
Naomba kuuliza wadau ivi barnaba au lover boy hayupo kwenye crew ya fiesta?
0 Reactions
1 Replies
793 Views
Wakuuu kuna link naweza ona live au tv gani wanaonyesha
0 Reactions
1 Replies
1K Views
1.Yote maisha - madee ft pfunk. Hii ngoma uwa nikiisikiliza ina nitouch sana. Inanikumbusha 2007 ambapo Pfunk alikuwa on the peak before hajashuka na madee akiwa madee kweli. Meseji na beat vyote...
11 Reactions
80 Replies
19K Views
Pro Era (which is short for Progressive Era) is an American Hip Hop collective from Brooklyn, New York City. The collective includes, among others, rappers Capital STEEZ (deceased), Joey Bada$$...
0 Reactions
0 Replies
713 Views
EATV imesema wasanii wa bongo fleva na bongo movie wanaotaka kupata nomination katika tuzo zao sharti lilopo ni kuwa msanii husika awapelekee kazi yke EATV na andike category anayotaka na sababu...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
25th AUGUST 2016 AJE remix Audio na Video Redone ALI KIBA ft M.I ABAGA itakuwa inaharibu hewa.. Kuwen teyar.. Kamwambien ALI KIBA asirelease hii ngoma sabab sio vizuri kuwakosesha amani wale WCB
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Kuna vipindi vya huyu Dada in short huwa sisikilizi ila hapa uswahilini kuna mama ana redio yake anafungulia. Ananikera kumwambia nashindwa maana mada anazozungumzia ni zaidi ya pumba, ni umbea...
1 Reactions
5 Replies
3K Views
Hii ngoma itakuwepo kwenye albam yake ya nne hapo Oct 28 itakapotoka. Inaitwa- Nail Pon Cross [Verse 1] World must understand Yo a man is just a man Don't you judge him for his ways and flaws No...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…