Msherwa
JF-Expert Member
- Aug 4, 2012
- 1,323
- 1,230
Cha kushangaza ni dogo wa Kanda ya Ziwa! Yaani promo za kuotea lakini bado naiona hii track ikiziburudisha hadi nyoyo za mbali!!
Hebu wazaramo semeni, track kama hii ikipigwa badala ya zile ngoma zenu ...!!
Masihara pembeni!! Track ni tamu!!
Napapenda sana pale mwishoni anaposema "Hapa vu.... tu!! LOL!!