nipeni aidia wazee...

nipeni aidia wazee...

Executor

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2014
Posts
872
Reaction score
999
Habari wakuu....
Kuna nyimbo nilikuwa ilikuwa inapiwa sana kipindi hicho nafikiri miaka ya 2006-08 na hata sasa huwa inapigwa katika vituo vya redio lakini mara chache sanaaa,huo wimbo unaeleza hivi,yaani kuna jamaa alikuwa na demu wake anaye muelewa kinoma mara siku akaja demu na barua kutoka kijijini na kudai yakua ile barua ilitoka kwa wazazi wa jamaa yakwamba amuache anaempenda ili awe na demu waliekuja kutoka kijijini,jamaa akamuacha ampendaye na kuwa na yule binti kutoka kijijini.Siku mzee wake na jamaa anakuja mjini anashangaa na kusema yakuwa ile barua haikuwa ya kweli......

Nia yangu ilikua kuwapa idea kama mtu anaweza kujua aliimba msanii gani iliniitafute maana naielewa sana hiyo ngoma mazee....
 
Habari wakuu....
Kuna nyimbo nilikuwa ilikuwa inapiwa sana kipindi hicho nafikiri miaka ya 2017-08 na hata sasa huwa inapigwa katika vituo vya redio lakini mara chache sanaaa,huo wimbo unaeleza hivi,yaani kuna jamaa alikuwa na demu wake anaye muelewa kinoma mara siku akaja demu na barua kutoka kijijini na kudai yakua ile barua ilitoka kwa wazazi wa jamaa yakwamba amuache anaempenda ili awe na demu waliekuja kutoka kijijini,jamaa akamuacha ampendaye na kuwa na yule binti kutoka kijijini.Siku mzee wake na jamaa anakuja mjini anashangaa na kusema yakuwa ile barua haikuwa ya kweli......

Nia yangu ilikua kuwapa idea kama mtu anaweza kujua aliimba msanii gani iliniitafute maana naielewa sana hiyo ngoma mazee....
Sio Bushoke!
 
Back
Top Bottom