Hizi nyimbo za Christian Bella kwa ki congo...

Hizi nyimbo za Christian Bella kwa ki congo...

The Boss

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2009
Posts
49,320
Reaction score
117,654
Kuna mitaa nilikua napita nikasikia wimbo maarufu wa Christian Bella ukiimbwa
kwa lingala mwanzo mwisho

najiuliza ni yeye huyo Christian Bella?

je nyimbo zake zote ameimba pia ki congo?

au ni mtu mwingine?

kuna anaejua more kuhusu hilo?
 
Mpaka muda huu kimya... ! Jua wazi watu hawana idea..
 
Back
Top Bottom