Nyimbo ya Kanye West ambayo mastaa wako uchi yaingia tuzo za MTVEMA

Btwainy

Member
Joined
Oct 15, 2015
Messages
13
Points
45

Btwainy

Member
Joined Oct 15, 2015
13 45
[https://3]

Kanye west msanii toka maandishi matatu USA, miezi mitatu iliyopita iliachia ngoma yake iendayo kwa jina la "Famous" akiwa amemshirikisha msanii Rihanna ambayo video yake ilitoka ikionyesha sanamu za nta "wax" za watu maarufu mbalimbali wakiwa uchi wa mnyama.

Video hiyo iliyotelewa ikionyesha sanamu za watu kama Rais wa zamani wa marekani George W bush, Mgombea Urais wa marekani kwa sasa Donald Trump, Msanii Taylor swift, Mwanamitindo Kim kardashian na wengine wengi wakiwa uchi imechaguliwa kushindania Tuzo za Mtvema kama moja ya video bora za mwaka link hii hapa chini....

Kanye West Famous-Best video mtvema,

[https://2]

Swali ni je anastahili heshima ya tuzo hii,,,,,

Ione video ya Kanyewest-Famous hapa chiniSource. MSHANGAO:NYIMBO YA KANYEWEST YA MASTAA WAKIWA UCHI YAINGIA KWENYE TUZO ZA MTVEMA.. - Adonis stunner
 
Capt Tamar

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2011
Messages
9,696
Points
2,000

Capt Tamar

JF-Expert Member
Joined Dec 15, 2011
9,696 2,000
Hawa wana maana nyingine!! Siyo viddeo bora! Wala siyo video ya music bora! Labda video bora ya uchi,almost nusu yote inaangazia watu wanaokoroma(no music) Kanye Na Jay wanatupandisha ngazi taratibu na taratibu tunazipanda bila kujua!! Bongo nako hivyohivyo,Diamond kachukua mziki wa mtu,kaurembesha kwa matusi kiasi,na sisi tukausifu kwa vigelegele! Devil in the making.
 
Btwainy

Member
Joined
Oct 15, 2015
Messages
13
Points
45

Btwainy

Member
Joined Oct 15, 2015
13 45
Hawa wana maana nyingine!! Siyo viddeo bora! Wala siyo video ya music bora! Labda video bora ya uchi,almost nusu yote inaangazia watu wanaokoroma(no music) Kanye Na Jay wanatupandisha ngazi taratibu na taratibu tunazipanda bila kujua!! Bongo nako hivyohivyo,Diamond kachukua mziki wa mtu,kaurembesha kwa matusi kiasi,na sisi tukausifu kwa vigelegele! Devil in the making.
Nachoshimdwa kuelewa n kwa kiasi gan jamaa huyu anajiamin kutumia wax dolls za watu maarufu hvyo..

Kwel n alivojiita mungu et yeezus na dully kwenye nyimbo ya inde nae kavaa kama sjui kupromote sjui kutoelewa

Tuombe mungu,,,,,
 
Forum statistics

Threads 1,381,186
Members 525,998
Posts 33,791,638
Top