Justine_Dannie
JF-Expert Member
- Dec 1, 2014
- 1,962
- 1,622
Habari wadau.
Ben pol ana wimbo wake mzuri sana unafahamika kama moyo mashine. Sasa huu utaratibu wa kufanya rmx au sijui cover wamefanya wengi sana Ila kuna dada mmoja sijamjua nae kufanya hiyo cover Sasa nimeipenda sana nimeisikia nikiwa likizo tengeru A town.
Kwa anaefahamu nitaipata wapi naomba anisaidie japo jina la mwimbaji asanteni.