VIPAJI NDANI YA HAWAVUMI LAKINI WAMO

VIPAJI NDANI YA HAWAVUMI LAKINI WAMO

basha unguja

Member
Joined
Sep 28, 2016
Posts
83
Reaction score
77
ON air right NOW! Hawavumi lakini wamo ebwane kuna wasanii wanavipaji huku hatari tupu yaani akina Diamond wafanye fanye wawaite wakasign label ya wasafi tu asee, au akina Barnaba boy au hata SONY na akina Davido, manake wanaweza kwa kweli sema wanakosa tu support, full mavocal na ubunifu ......wasmaje wadau?
wito wangu wasaka vipaji angalieni sana kipindi hiki cha hawavumi lakini wamo!!!
 
ungemtaja msanii mmoja kati ya hao waliokufurahisha ili nami nimfuatilie. Hicho kituo cha tv huku niliko sikipati.
 
Back
Top Bottom