MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,765
- 71,801
Nimefuatilia coke studio Africa mwaka jana 2015 lakini hakuna wimbo ulionifurahisha kama "REASON" Ulioimbwa na Wangechi, Neyo, Dama do Bling, Maurice Kirya, Ice Prince, Alikiba na Ne-Yo. Nikamuangalia kijana wetu Alikiba na nikawangalinganisha na Maurice Kirya wa Uganda nikanyamaza tu.
Hebu angalia nani ametisha kati ya hawa wawili.
Hebu angalia nani ametisha kati ya hawa wawili.