Man fongo asubir 2020

Man fongo asubir 2020

radika

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2014
Posts
20,450
Reaction score
32,291
Akihojiwa na kipindi cha friday night live kinachorushwa na east african tv msanii maarufu Tanzania Tid akijiita mnyama,, hilo lilikuwa ni ombi la mtazamaji wa kipind hicho kwamba kwa sasa mnyama anatakiwa kuomba collabo na msanii wa singeli man fongo ndipo mtangazaji dullah akamuuliza hilo analipokeaje jamaa alioneshwa kutokukubali kwani anahisi man fongo bado msanii mchanga sio level zake.


Pia kwa upande wa Kr alipoulizwa kuhusiana na picha zake kuzagaa kwenye mitandao ya kijamii zikimuonesha akiwa amelala hadharani jamaa kasema ni uchovu ulichangia kwa kuwa yupo busy sana na mazoezi hiyo inapelekea kuchoka sana mnyama alijaribu kumsaidia kwa kusema ni kiki ya wimbo mpya wa Kr.
 
Hahah, nimekumbuka maneni ya wema ujue

Daaah TID amebaki maneno tuu sku hizi

Jamaa alikuwa ana achia ngoma kali sana huyu,
 
Kiki imemkiki yeye ....ngada mbaya sana
 
Jana nimecheka sana...anakwambia ety twenty twenty
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom