Dah! haka kawimbo ka CCM mbele kwa mbele Jamani !

Dah! haka kawimbo ka CCM mbele kwa mbele Jamani !

BabaTina

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2008
Posts
429
Reaction score
585
Wanajamvi kwa kuwa tunaendelea kupigwa sana kila kona...ebu tujiliwaze na hiki kijitrack hiki cha watawala...

Sio kabaya kanachezeka kweli kila kona ila nashangaa tu akaingii kwenye kumi bora za vituo mbalimbali vya redio..

[emoji3] [emoji3]
 
Namba lazima isomeke mkuu. Sema hao wavaa za kijani wanaumia kimoyomoyo kwasababu walichagua kwa mikono yao na hawana wa kumlaumu. Hawawezi kulalamika hadharani...
 
Nitumie haka kawimbo kupitia whatsapp tafadhali ... +8613320286695
 
Kananifariji sana haka Kawimbo

Ngoja niweke kama muito wa Simu
 
Ukitaka mwanaccm akung'oe meno mpigie ule wimbo wa CCM mbele kwa mbele
 
Ukitaka mwanaccm akung'oe meno mpigie ule wimbo wa CCM mbele kwa mbele
Aisee sijaamini yan kuna ndugu zangu walikua CCM damu huwaambii kitu thanks God wamefunguka sasa hv sidhan km 2020 watafanya tena kosa
 
Namba inasomekaa...ata hamn haja y kupga huo wmbo kwan nahis kila mtyu ameushika kchwani huo wmbo. Tunyoshee anko,magu
 
Back
Top Bottom