Pata kiburudisho cha wimbo huu

Ngoromiko

JF-Expert Member
Sep 15, 2011
554
175
Kitu kizuri kula na rafiki na ndugu zako.

Wana JF ni ndugu zangu.

Karibuni tuburudike sote na huu wimbo.
 

Attachments

  • KIBURUDISHO.mp3
    235.8 KB · Views: 33
KB zangu zimeenda bure kisa 'sisiemu'

Mkuu uwe unatoa taarifa ni kiburudisho kuhusu nini
Mi sijaenjoy

Majipu my butt
 
KB zangu zimeenda bure kisa 'sisiemu'

Mkuu uwe unatoa taarifa ni kiburudisho kuhusu nini
Mi sijaenjoy

Majipu my butt

Polee. Wengine wanaweza wasikipende kiburudisho hiki hasa kama hawajamwelewa JPM.
 
Niliposoma avatar nikaona huu utakuwa ni upuuzi ila si ule wa masoud kipanya
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom