Hata mimi nakubaliana na wewe waondoe ile sehemu kwani inaonyesha sisi watz ni wachafuKutema mate ili asafishe meza ni uchafu sana, wafanye editing sehem hiyo na kweli mida hiyo ndo mida watu wengi hula chakula! We miss mzee Small but not on that part!
Lingine bovu ni lile la sabuni ya Unga ya Family, mtoto badala ionekane amechafuka akicheza wao wanaonyesha akijichafua..watz tuna matangazo mengii sana mabovu[emoji35][emoji35][emoji35]
Kuna lile lingine mtoto anammwagia baba yake tomato source kwenye shati.Lingine bovu ni lile la sabuni ya Unga ya Family, mtoto badala ionekane amechafuka akicheza wao wanaonyesha akijichafua..
Katengeneze lako....