donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,257
- 22,136
Salam wakuu,
Habari za weekend? Najalia wakuu mko poa. Juzi nilikua naangalia tv ghafla wimbo wa gospel ukapigwa aisee huyu dada wakuitwa Angel Benard ni mwimbaji hatari kanakwamba mwanzoni i thought sio mtanzania ila mdogo wangu wa kike akanambia kwamba mbona ni mbongo...
Huyu dada anajua na kiukweli hii ngoma yake iliniamisha kabisa spiritually nikajikta naitafakari uwepo wa Mungu maishani mwanangu. Kwa anayefahamu bio ya huyu dada naomba aweze kunijuza mawili matatu kuhusu Angel. Huu wimbo wake niliupenda: