Askari Muoga
JF-Expert Member
- Oct 22, 2015
- 6,112
- 4,663
Nakula singeli za kutosha hapa kutoka channel jipya la Tv E. Hawa nindugu wa Efm. Clouds tv jiandaeni watakuja kuwakimbiza kama wanavyowakimbiza katika Radio hadi mnasajili watu wao.
Hakuna hiyo kitu uliyoiita ''watu wao''...Nakula singeli za kutosha hapa kutoka channel jipya la Tv E. Hawa nindugu wa Efm. Clouds tv jiandaeni watakuja kuwakimbiza kama wanavyowakimbiza katika Radio hadi mnasajili watu wao.