nikisema kuna watu wenye maono alikuwepo justin kalikawe aliimba nyimbo nyingi sana ambazo zinamaana mpaka sasa,hasa ninaposikiliza wimbo wake anaosema usitumie cheo chako kama dhamana ya matakwa...
FANI KATIKA MAISHA,
ni track ya muda mrefu, kama kitu live hivi jamaa walitoa na video, naomba kujua ulipo
verce "Mpiga debee ilikuwa kazi yangu, fani katika maisha ikaja kuniokoa, "...
Salamu wana jamvi naomba kwa anae fahamu wasanii walio imba na jina LA Nyimbo original ambazo zpo kama remix kwenye
1.jemedari ya Nikki mbishi
2.marafiki wa uongo ya zaidi
Natanguliza shukran
MASHAIRI YAKO HIVI........(Unaweza kurekebisha though)........
Wanasiasa Bungeni wengine ni……yooh….yooh! tu
Haters wakikosa cha kuongea nao ni……. yooh….yooh! tu
Mwalimu wa madada zenu naye ana……...
............Nafiiicha mbeleko kwajili yako,Jiachie tu nikubebe,we kama mtoto ninavyokudekeza, na jicho lako la kungu kama lanikonyeza .......
Hiyo ni baadhi ya mistari ambayo imekaa ipasavyo na...
There's a natural mystic
Blowing through the air
if you listen carefully now you will hear.
This could be the first trumpet
might as well be the last
Many more will have to suffer
many more will...
Wale waliokua wanamsema kua hamorapa hana hata nyimbo sasa kuwamaliza na hii, wengi wameenda mbali na kusema ngoma yake hiyo aliyomshirikisha mkongwe na muanzilshi wa bongo fleva j nature kwa...
Wakuu mpaka muda huu kipindi cha shilawadu hakijaanza kuruka hewani.Badala yake kuna kipindi cha MUSIC MIX na muda unazidi kuyoyoma.Kuna tatizo gani? Tujuzane tufahamu ni nini kimesababisha...
wadau mimi ni mpenzi wa series hizi za wakorea... ingawa sijafuatilia nyingi sana lakini nimejifunza kitu..
1. steringi anaweza kuumizwa sana na ni wepesi sana kutoka damu lakini ndani ya muda...
Ni ktk kipindi cha FNL cha tar 17/03/2017..
Kifupi Kiba amekataa kujibu maswali aliyoulizwa na Sam...
Mwisho wamekatiana simu..
muziki wa Bongo una safari kubwa Sana kufika kilele
Ni hivi katika pitapita zangu nikamkuta ndugu yetu wa kutuinspire kupambana bwana fursa mtu mzima Harmorapa katupia dubwasha moja youtube la ngoma yake mpya inayokwenda kwa jina la Shilingi...
Wadau Clouds Tv kwa sasa inapatikana online, unaweka kuitazama kupitia hii link CLOUDS TV on USTREAM: .
Kwa wale ambao wako nje ya Dar hii inaweza ikawafaa zaidi.