Kichupa hiki nimelipenda sana: Msanii toka Iringa

Ni mziki mzuri hasa upande wa mashairi, picha na sauti lakini ametumia biti za kizamani sana. Kama ingekuwa miaka ya 1990s huu wimbo ungefanya vizuri sana kwa miaka hii wachanganya biti wanatakiwa wawe wabunifu sana hususan katika kuongeza vionjo vya muziki.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom