CK Allan
JF-Expert Member
- Aug 14, 2013
- 2,781
- 6,065
wadau mimi ni mpenzi wa series hizi za wakorea... ingawa sijafuatilia nyingi sana lakini nimejifunza kitu..
1. steringi anaweza kuumizwa sana na ni wepesi sana kutoka damu lakini ndani ya muda mfupi akitoka hospitali huwezi kuona hata kovu hata awe amekatwa usoni.
2.acter/actress utakayemuona na ulemavu mwanzoni basi pengine ulemavu wake ukapona mwishoni au utakuta ulemavu huo sio wa kuzaliwa kuna mtu kasababisha.
3.wanaokuwa marafiki mwanzoni watasalitiana katikati na mwishoni watasameheana na lazima mmoja aumie au afe.
4.mwisho wao mara nyingi unakuwa na utata hivi na series nyingi steringi anakufa au kupotea.
5. marekani (USA) lazima itajwe... lazima kuwe na mhusika anayeenda masomoni au mapumziko marekani.
6.mara nyingi steringi wa kiume atampenda msichana kuliko anavyojipenda mwenyewe..
7. majambazi wanavaa suti nyeusi na silaha ni bunduki au fimbo
8.visa vyao vingi ni vya kifamilia ukoo (kuuliaana wazazi nk)
9.mara nyingi jambazi kuu hauliwi na steringi hata awe amemkamia kiasi gani.. na wakati mwingine wanaweza kuuwawa na watu wengine.
10.series nyingi wanaamini kuna maisha mengine baada ya kifo.
11. jamaa wanajua kulia aisee...
hebu ongezea na wewe...