Kajolijo
JF-Expert Member
- May 30, 2016
- 3,364
- 4,612
Wale waliokua wanamsema kua hamorapa hana hata nyimbo sasa kuwamaliza na hii, wengi wameenda mbali na kusema ngoma yake hiyo aliyomshirikisha mkongwe na muanzilshi wa bongo fleva j nature kwa kusema kua si ya nchi hii,... hadhi na ubora wake si wa nchi hii wameskika wakiisifia watu mbali mbali waliohojiwa na mini mwenyewe, hii ndio ngoma yake inayoendwa kwa jina la 'kiboko ya mabishoo'
Unsurpoted audio
Unsurpoted audio