Sam Misago Na Kiba wazenguana FNL

Sam Misago Na Kiba wazenguana FNL

kidaganda

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2013
Posts
2,997
Reaction score
2,577
Ni ktk kipindi cha FNL cha tar 17/03/2017..
Kifupi Kiba amekataa kujibu maswali aliyoulizwa na Sam...
Mwisho wamekatiana simu..

muziki wa Bongo una safari kubwa Sana kufika kilele
 
Kaa tulia ndo uandike una haraka ya nini?? au kuna fedha inayotolewa ukifikisha taarifa humu kwa haraka??
 
Kazi kweli kweli, naona Sam alikuwa anawaambia watu waliopo nyuma ya kamera wakate mawasiliano. Duuh!
 
Sam nae kwa maswali yake
Sometimes unaweza hata ukamtukana
 
tatzo Sam alikuwa na majibu yake so kakuta amekosa akamaind
Kwanza hata interview imeanza Kiba alikuwa bize anakula yaani hakuwa na nidhamu sijajua kama aliona umuhimu wa hiyo interview
 
Back
Top Bottom