USINIPANGIE: Asante sana Baghdad

Drummer_Kid

Member
Mar 4, 2017
10
17


MASHAIRI YAKO HIVI........(Unaweza kurekebisha though)........

Wanasiasa Bungeni wengine ni……yooh….yooh! tu
Haters wakikosa cha kuongea nao ni……. yooh….yooh! tu
Mwalimu wa madada zenu naye ana…… yooh….yooh! tu
Kumbe hata nchi haiendelei utasainia clock…..switch flow na-make doo
Usinipangie kufloo…. (Natamba)….niwafunike
Ghetto baya niwanyuke, sifugi makuku jike…nawachinja niwapike
Hapa Guest, brother usihoji supu ya Kongoro
You better do your thing, usinipangie michoro (Next)
Najijua dereva sipo listi ya Makonda
Madawa nayouza si ya kulevya ni ya kukonda (nigga)
Sioni keki, cash ama cheque au kuwekwa na kutoa usinipangie…good day nigga.

Chorus: Usinipangie x6

Ahhaaaaaaa…einheee na uache uboya wa kunitishia kuwa itanicost


Heri mtu akose msosi ila sio bando
Habari za Tz zinatoka ng’ambo
Askofu kajitolea kuwa chambo
Maza kafa soo usituchagulie wa kambo

Siku hizi Daudi sio Lukas bali wa Albert Bashite
Mtumbua majipu vipi hii chunusi uipite? (Sishinikizwiii)
Shirika la Wambea wanahofu mitutu ndo inatumika kumchafua askofu
Mkomezi wa balaa, four na ziro zimejaa
Mapapa wanakupa minofu unawaganda dagaa
Mnazuia viroba, sa gongo na chang’aa
Dar sihami mkuu usinipangie pa kukaa

Shisha na viroba marufuku
Kukatiza mjini marufuku (Maza kafa)
Nami ni mwendesha tukutuku
Usinipangie muda wa kusanya bukubuku

Repeat Chorus

Outro: ……..Hata mi huwa sishinikizwi na sishabikii umbea
 
Kimbungaaa uko wap mwanang amka aaamkaa


Au unasubr tu za neema,wa mitego ilinukopy vzr
 
Back
Top Bottom