Jinsi ya kuangalia tv kupitia simu.

pasua anga

Member
Jan 7, 2017
26
13
habari wakuu naomba kujuzwa jinsi gani naweza kuangalia tv online kupitia cm....na channels za bongo
 
habari wakuu naomba kujuzwa jinsi gani naweza kuangalia tv online kupitia cm....na channels za bongo
Kuna jamaa aliitambulisha online tv hapa hapa ipo vizur sana inaonyesha
ITV
Star TV
Channel 10
EATV
Clouds TV
Na nyinginezo. Itafute maana mi sijui jinsi ya kushare link
 
Ingia play store download aplication inaitwa Azam tv kuna chanel zifuatazo
Azam one
Azam two
Azam sport
Star tv
Itv
Star tv
Captal tv
Ziko vzr sana tena zinaonyesha bila usumbufu bando lako tu
 
Back
Top Bottom