Wakuu anaye jua walio imba nymbo hizi

Major League

Member
Mar 20, 2017
55
47
Salamu wana jamvi naomba kwa anae fahamu wasanii walio imba na jina LA Nyimbo original ambazo zpo kama remix kwenye
1.jemedari ya Nikki mbishi
2.marafiki wa uongo ya zaidi
Natanguliza shukran
 
Nikki mbishi ft p the mc,zaiid& remix ongala-jemedari____zaiid ft p the mc & mzee ngurumo__marafiki wa uongo
 
Hiyo ya Nikki mbishi, OG yake kaimba baba mzee mwenye sura mbaya handsome OG kiboko ya harmorappa... Remmy Ongala "DOKTAAAAAA"

Hiyo Ya Zaid na P.. OG kaimba Hayati Mzee Muhidin Gurumo "KAMANDAAAAAAAAA".

b5-click
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom