Shilingi: Hiki Kisu kipya cha Harmo Rappa lazima mkae

BabaTina

JF-Expert Member
Aug 29, 2008
429
576
Ni hivi katika pitapita zangu nikamkuta ndugu yetu wa kutuinspire kupambana bwana fursa mtu mzima Harmorapa katupia dubwasha moja youtube la ngoma yake mpya inayokwenda kwa jina la Shilingi...!!

Hizi bila shaka ni salamu za mwaka 2017 kwa wale wote waliokuwa wakimdharau.....
Big up sana Harmorapa....Kisu kinamakali hatareeeee....kiskize hapo chini
 
Uongo mbaya, harmorapa kama huu wimbo atauachia basi ni ana matumaini ya kua mwimbaji bora ngoma nzuri inasikilizika
 
duuu kweli hyo ni hatari hili dude nimelielewa in short kimetulia na atakimbiza mbayaaa
 
Ni hivi katika pitapita zangu nikamkuta ndugu yetu wa kutuinspire kupambana bwana fursa mtu mzima Harmorapa katupia dubwasha moja youtube la ngoma yake mpya inayokwenda kwa jina la Shilingi...!!

Hizi bila shaka ni salamu za mwaka 2017 kwa wale wote waliokuwa wakimdharau.....
Big up sana Harmorapa....Kisu kinamakali hatareeeee....kiskize hapo chini

duh
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom