Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Habari zenu waungwana! Mada tajwa hapo juu yahusika. Ni kitambo sana natafuta hii Instrumental ya my heart will go on, wimbo ambao umeimbwa na cecil dion. Ni beat ambayo inasikika sana kwenye...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
HADITHI APP Ukuaji wa teknolojia nchini Tanzania ndiyo mwanzo wa kukua kwa mambo mengi ya kijamii, mifumo mbalimbali ya kijamii...
1 Reactions
8 Replies
4K Views
Huwa napenda filamu za dizaini. share nawe ulizoziona. Girlfriend.
1 Reactions
7 Replies
4K Views
Mbona yuko kimya yuko wapi?
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Ebwanaeeeeeh noma saana!
1 Reactions
7 Replies
3K Views
If you are fond of music; like singing; want to be a star; want to meet with music lovers in Africa; are seeking for a free music promotion platform; You should try Sing+ (aka Sing Plus) , a...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Motema ezo lela est ce que ozo yoka nga Mawa na nga pe pinzoli eh Mboka nini na kende epayi ya nga, Nakeyi Dar-Es-Salaam Kolela na nga eleki ya moto mohumbu oya azangaki liberté...Kuna kuna na...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Kati ya watanzania wanaomkubali Juma Nature basi na mimi nimo. Imefikia kipindi nikipishana na ka mwimbo kake kokote mahali popote pale nasimama hadi kaishe ndonaendelea na safari. Nimejaribu...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Leo nataka nifahamu nani zaidi kati ya HASSANI REHANI BITCHUKA VS TX MOSHI WILLIAM(R.I.P), kwa enzi za uhai wa TX MOSHI WILLIAM maana walikua ni washindani(Competitors) hawa. Naomba U msondo na U...
0 Reactions
16 Replies
6K Views
Wakati mabadiliko ya vipindi yanatokea kwa kuviua vipindi vingine na kuanzishwa vipindi vipya mjengoni Clouds fm inakosikika kidogo niandamane hasa kipindi Amplifaya kilipoipoka nafasi kipindi...
5 Reactions
22 Replies
5K Views
After only 90 days, South African award winning hip-hop rapper and songwriter, Kwesta, has reached an impressive 2 million views on VEVO with his latest and most personal music video offering...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
wakuu habari! naomba kwa mwenye softcopy za tamthiliya (plays) za kiswahili au kiingereza anisaidie. au kama kuna mtu anajua mahali ninapoweza kuzipata anielekeze. natanguliza shukrani
0 Reactions
1 Replies
781 Views
Binafsi ni mdau na shabiki wa nyimbo zake....nimepata kuzipenda album zake mbili sanjari na ile ya jina ramadhan....Nimepata kusikia pasi na kupata uhakika juu ya uwepo wa huyu mwimbaji..Yupo hai...
0 Reactions
4 Replies
27K Views
Naomba unisaidie majina ya nyimbo za gospel zilizoimbwa kwa kiingereza. Huwa zinanipa hisia kali. Thanks in adv.
0 Reactions
9 Replies
12K Views
Mada inajieleza vizuri, Dogo kacheza dk zote na kwa kiwango bora tumpgie kura ashinde. Kwa sasa Msuva anaongoza Link ya kupiga kura hiyo Ni mchezaji gani bora wa VPL kwa mwaka 2016/2017 - Poll...
0 Reactions
0 Replies
878 Views
Mimi nilikuwa miongoni mwa watu Wa mwanzo kabisa kufanya tathimini na kutoa maoni yangu khusiana na wimbo Wa Darasa hasara roho, ambapo nilisema kuwa inaonekana hata ule wimbo Wa muziki...
3 Reactions
37 Replies
5K Views
Wakuu, Natanguliza shukrani zangu za dhati kwa yeyote atakayewiwa kunisaidia kuupata wimbo huu!
0 Reactions
0 Replies
5K Views
Hii chemistry ilikuwa balaa kila wimbo waliotoa ilikua hit song kwa mfano Hawajui,Wanaume kama mabinti remix,Msiache kuongea,Sikiliza featuring Mangwea-RIP,Alikufa kwa ngoma. Alafu kuna collabo...
0 Reactions
36 Replies
9K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…